wizodg
Senior Member
- Dec 24, 2018
- 151
- 136
Juzi nikawa naangalia camera ya Infinix hot 7 camera mbili nikawa nafikiria inakuwaje camera mbili zinfunction at the same time nikasema labda camera moja ni ya beauty nyingine in ya portrait au panorama. Si nikapata idea kwa nini nisizibe camera moja ili nione ipi ina kazi gani, nikakuta camera inayofanya kazi in ile ya juu ikimaanissha kwamba ile ya chini ni urembo.
Nikasema labda ni mbovu kuja kuangalia Tecno ya mtu yenye camera mbili ni hivo hivo.
Wazee hebu jaribuni kuangalia camera zenu alafu mnipe mrejesho.
Nikasema labda ni mbovu kuja kuangalia Tecno ya mtu yenye camera mbili ni hivo hivo.
Wazee hebu jaribuni kuangalia camera zenu alafu mnipe mrejesho.