Aunt Cash
Member
- Feb 3, 2019
- 88
- 97
Habarini wakubwa!
Naomba msaada wa namna ya kuboost tangazo kwenye page ya Facebook. Siku nyingi nimekuwa nikijaribu kwa kufuata hatua zote lakini naona jitihada zangu zinagonga mwamba.
Naombeni msaada wenu kwa yeyote ambaye amewahi kulipia tangazo na akafanikiwa kupata wateja wengi.