Hatimaye Checkra1n ndio tool ya kwanza kujailbreak iOS 13

dexterous

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
2,038
3,124
Hacker Axi0mX siku ya leo ameweza kuachia Chekra1n, tool ambayo ina uwezo wa kujailbreak simu za iPhone pamoja na ipad ambazo zina run iOS 13.

Kwa wasiofahamu, maana ya kujailbreak ni kuondoa vikwazo vinavyotokana na iOS kuweza kuzuia kuinstall app nje ya Appstore au pengine kuipa uhuru zaidi simu za iPhone kama ilivyokwa watumiaji wa simu zenye Android software.
 
Ni kuanzia iphone ngapi kushuka chini?
Karibia device zote za apple kati ya 5s na X ambazo zina run ios 12 nakuendelea.. kwa sasa ipo kwenye beta version naona bado wanaifanyia kazi kuimprove maana hawajatoa version inayo support kwenye window kwasasa inapatikana kwenye macOS tu.
 
Wapuuzi sana Ios

Back
Top Bottom