Naomba kujua sehemu ya kununua PC Dar es Salaam

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,579
7,282
Natafuta PC (Laptop) kwa ajili ya kijana anaeanza masomo IT (Certificate-Diploma). Nafikiria kuja Dar kwa ajili hiyo. Naomba ushauri wa maduka gani na wapi ambapo naweza kupata PC nzuri cha msingi iwe na processor ya intel I-5, Ram 8 au zaidi.

Nitashukuru kupata ushauri juu ya hilo na hata kuhusu specifications. Wengine haya mambo ni challenging lakini inabidi tuvae majukumu. Natanguliza shukran
i.
 
Nenda duka la laptop city
Wapo Morocco BRT nyuma ya Airtel
Wana bidhaa original

No: 0688 932 821
 
Back
Top Bottom