Nina laki 2 nahitaji kununua simu

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,193
Wadau habari za majukumu. Nina bajeti ya laki 2 nahitaji kununua simu. Je naweza kupata simu nzuri ya Samsung? Naombeni ushauri wenu wadau
 
Zipo hizi hapa tuwasiliane mzigo mpya kabsaa huo Bei 200k
tapatalk_1553290733935.jpeg
 
Wadau habari za majukumu. Nina bajeti ya laki 2 nahitaji kununua simu. Je naweza kupata simu nzuri ya Samsung? Naombeni ushauri wenu wadau
A10s : 320,000
S6: 340,000

Mpya kabisa.
Warranty ya mwaka mmoja.
Tunatoa Receipt.
Kava na Protector tunakupa Bure

Free delivery kwa Dar.
Tupo Kariakoo, Dar es Salaam

Call: 0753152345
 
Wadau habari za majukumu. Nina bajeti ya laki 2 nahitaji kununua simu. Je naweza kupata simu nzuri ya Samsung? Naombeni ushauri wenu wadau
Kma hutojali kuchukua xiaomi redmi 7a aliexpress kuna sell bei nzuri nw. Au mcheki mwl crt akuagizie.
 
Back
Top Bottom