Msaada jinsi ya kufanya live broadcasting

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Jan 17, 2018
233
263
Habari wakuu,

Naomba kuuliza namna ya kufanya Facebook live streaming au broadcasting kwa kutumia Camera ni vitu gani vinavyohitajika ili kufanikisha hilo?

Nisaidieni wataalamu.
 
Back
Top Bottom