Hisense Watangaza smartphone yenye uwezo wa betri wa 10010mAh

dexterous

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
2,038
3,124
Kampuni hiyo ya kichina imeweza kuipa simu yake uwezo mkubwa wa betri kutunza chaji zaidi. Betri hiyo yenye uwezo wa 10,010mAh ambayo kwa matumizi inaweza kukaa siku 4 mpaka sita bila kuchaji simu.

Hivyo hisense kingkong 6 ndo itakuwa smartphone ya kwanza kuwa na uwezo mkubwa wa betri

DBF70D45-A041-4210-8839-CCE5E881CAEA.jpeg
FBFE776D-F119-4667-AA74-89C3346CD28C.jpeg
A334B8AA-796D-43A9-84DD-596CE23F1045.jpeg
 
Back
Top Bottom