Heshima na iwe kwako mwanajamiiforums, naomba unipe mawili matatu kuhusu huduma hii ya Bixby inayopatikana kwenye baadhi ya simu za Samsung maana ninayo kwenye simu yangu ila sijui matumizi yake...
Wakuu Nina wazo kuanzisha website/App inayohusu kilimo na mifugo itakayopatikana kwa lugha ya Kiswahili Kiingereza, Kisukuma, Kichaga na nyinginezo kwa kuanzia nitaanza na lugha za makabila...
Nimenunua simu aina ya Samsung Galaxy tab A6, haishiki network yoyote lakini nilivoingia ndan kwenye setting - conection ile phone network hilo neno halipo kwenye simu.
Je inawezekana simu haina...
Cm yangu ni galaxy s 5 ninapotaka ku -Google ina-search lakni baada ya hapo inaandika web-page is not available ko nataka kujua tatizo ni nini @chiefmkwawa
Habari zenu wana JF, nina tatizo linaniumiza kichwa sana na hadi leo hii bado tatizo lipo. nina mashine ya copy ni CANON:IR.2206 imegoma kutenda kazi. Kwenye display inajiandika error halafu...
Niliomba mara ya kwanza wakanitolea nje eti nina reused content, nikafuta baadhi ya video wakanipa muda wa kuomba 17th mwezi huu, imefika nikaomba tena ndo nasikilizia hapa.
Nipe uzoefu ilikuwaje...
Huduma zetu ni kama: Hotel Management System, School Management System, Hospital na Radio Stream Hosting.
Pia tunatoa msaada wa IT
Kwakuwa sisi ni wageni hapa, tunaomba sapoti yenu wanaJ
Tupo...
Habari waungwana,
Simu yangu haikubali earphones. Nikichomeka earphones, speaker ya simu na earphones vinalia kwa pamoja halafu sauti inayotoka kwenye earphones ni very sharp ina mdundo mdogo...
Nimekuwa nikiona mara nyingi sana inapotokea kurasa ya mtandao wa kijamii kama "Facebook" ya mtu ikawa na kitu chenye taharuki, wahusika hukimbilia kusema wamedukuliwa.
Huwa napata kigugumizi...
Hii ndio husemwa kuwa Dadavuzi mpakato ya kwanza duniani, Grid Compass (clamshell laptop) ambayo iliundwa mwaka 1979 na William Moggridge, kwa ajili ya Grid System Corporation ya Marekani. Ilianza...
Habari,
Nilijaribu kuomba kuhusu kufuta apple id yangu, lakini nilifanya kosa (nilitakiwa kusaini out kwanza katika Iphone yangu kabla ya kuifuta) kwa hivyo sasa kila nikijarb ku sign out...
Nimeletewa samsung J3 pro kutoka China.
Sasa shida yake battery inajizima bila kufika 0%. Wala haifiki kwenye 15% kuonesha battery low.
.
Naweza kutumia kutoka 100% halafu ikazima kwenye 35%...
Moja kwa moja kwenye mada, naombeni kupata ufafanuzi mgogoro wa Huawei na Apple kuhusu tishio la kuondolewa uwezo wa kutumia Google kwenye simu za Huawei uliishaje maana nahitaji kununua simu ya...
Habarini za usiku wakuu,ninahitaji kujua je hizi simu ambazo zina network lock au carrier lock zinatolewa vipi? na bei gani kutoa hiyo lock? na zipo njia za aina ngapi? na je njia hizo ni 100%...
HONGERENI KWA KUKUTANA TENA 2020,
kuna simu mbili n used ila sio sana kwa laki tatu ipi nichukue kati wa SAMSUNG GALAXY S6EDGE+ YENYE 2RAM NA 32ROM HALAFU IPHONE 6S PLAIN YENYE 2RAM NA 64ROM...
Wakuu habari,
Hii simu ni wiki sasa inasumbua touch lakini ukitumia S-Pen inatouch vizuri kabisa.
Mwenye kuelewa anisaidie kama ni ishu za software ama hardware maana nmeshindwa kuelewa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kama kuna developer au mtu anayeweza kunipa mawasiliano na developers wa Android na Apple Applications naomba tuwasiliane tafadhali.
Nadhani mawasialiano...