Simu yangu hairespond nikichomeka Earphones

Drone Camera

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
14,007
13,799
Habari waungwana,
Simu yangu haikubali earphones. Nikichomeka earphones, speaker ya simu na earphones vinalia kwa pamoja halafu sauti inayotoka kwenye earphones ni very sharp ina mdundo mdogo sana.

Kiufupi nikichomeka earphones, ile symbol inayoonyesha nimechomeka haitokei kwenye simu.

Naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini na kama nitaweza kulifix mwenyewe au la.
 
Back
Top Bottom