Ipi ni bora kati ya Galaxy S6Edge+ na i Phone S6 Plain

Ipi ni bora kati ya Galaxy S6Edge+ na i Phone S6 Plain

Mbona iphone ina specs nzur kuliko hio nyingine ila bei zafafa nn tatizo, samahani lakini🤔😂
 
HONGERENI KWA KUKUTANA TENA 2020,
kuna simu mbili n used ila sio sana kwa laki tatu ipi nichukue kati wa SAMSUNG GALAXY S6EDGE+ YENYE 2RAM NA 32ROM HALAFU IPHONE S6 PLAIN YENYE 2RAM NA 64ROM naombeni ufafanuz

Sent using Jamii Forums mobile app
Iphone 6 plain haipokei updates tena yani ishakuwa fazed out sishauri mtu ainunue hata maana ios developers wanaitosa haraka wakat android mpaka 2.2.4 watu bado wanapata whatsapp
 
HONGERENI KWA KUKUTANA TENA 2020,
kuna simu mbili n used ila sio sana kwa laki tatu ipi nichukue kati wa SAMSUNG GALAXY S6EDGE+ YENYE 2RAM NA 32ROM HALAFU IPHONE S6 PLAIN YENYE 2RAM NA 64ROM naombeni ufafanuz

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama ulimaanisha iPhone 6s ni nzuri chukua inapata update kama kawaida.
Lakini kama ulimaanisha IPhone 6 hiyo achana nayo haipati tena update.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata hiyo samsung sidhani kama inaruhusu update. Maana samsung huwa wanatoa chance ya ku update mara mbili tu

Sent using Jamii Forums mobile app
simu za android hazitegemei playstore tu, hata google wakisitisha support kuna namna za kufanya unakuwa up to date.

tofauti na iphone ambayo inamtegemea apple kila kitu, simu isipopata update haichukui muda sana inakuwa sawa na kitochi, mfano iphone 4 sasa hivi ni useless, na 5 tayari kuna baadhi ya app haikubali mfano insta, soon whatsapp itapotea, ikitoka 5 inayofuatia ni 5s na 6.
 
HONGERENI KWA KUKUTANA TENA 2020,
kuna simu mbili n used ila sio sana kwa laki tatu ipi nichukue kati wa SAMSUNG GALAXY S6EDGE+ YENYE 2RAM NA 32ROM HALAFU IPHONE S6 PLAIN YENYE 2RAM NA 64ROM naombeni ufafanuz

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo chukua samsung s6 edge + sababu ina ram 4gb na 32gb internal storage na uzuri ilipata update ya android 7.Iko njema kimatumizi ili mradi upate ambayo haijachoka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom