Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,834
Hii ndio husemwa kuwa Dadavuzi mpakato ya kwanza duniani, Grid Compass (clamshell laptop) ambayo iliundwa mwaka 1979 na William Moggridge, kwa ajili ya Grid System Corporation ya Marekani. Ilianza kutumika mwaka 1982 ilikuwa na RAM ya 512K