Simu haishiki network

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
242
Nimenunua simu aina ya Samsung Galaxy tab A6, haishiki network yoyote lakini nilivoingia ndan kwenye setting - conection ile phone network hilo neno halipo kwenye simu.

Je inawezekana simu haina network, au kuna jinsi ya kuinstall kwa kutumia Wi-Fi maana nikiconect na Wi-Fi naweza kudownload kitu lakini line haishiki so hata message, simu hakuna inayoingia na kutoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom