Kwa wataalamu wa security (IT) naomba ufafanuzi kuhusu suala la kudukuliwa

Guus

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
932
1,000
Nimekuwa nikiona mara nyingi sana inapotokea kurasa ya mtandao wa kijamii kama "Facebook" ya mtu ikawa na kitu chenye taharuki, wahusika hukimbilia kusema wamedukuliwa.

Huwa napata kigugumizi sana kuuamini huu udukuzi, hasa wa nywila za hii mitandao ya kijamii. Wataalamu wa "IT Security"

Naombeni mniambie usahihi wa huu utetezi.
 
Top Bottom