Youtube iliwachukiwa siku ngapi kuidhinisha ads kwenye Chanel yako?

Nsumba ntale tz

JF-Expert Member
Apr 19, 2016
713
759
Niliomba mara ya kwanza wakanitolea nje eti nina reused content, nikafuta baadhi ya video wakanipa muda wa kuomba 17th mwezi huu, imefika nikaomba tena ndo nasikilizia hapa.

Nipe uzoefu ilikuwaje kwako, mimi ndo kwanza naanza kwa kuchukua video za baadhi ya watu.

Screenshot_20200123-165555.jpg
 
Back
Top Bottom