Msaada kuhusu simu yenye tatizo la mtandao

Msaada kuhusu simu yenye tatizo la mtandao

philemon musa

Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
11
Reaction score
1
Cm yangu ni galaxy s 5 ninapotaka ku -Google ina-search lakni baada ya hapo inaandika web-page is not available ko nataka kujua tatizo ni nini @chiefmkwawa
 
Cm yangu ni galaxy s 5 ninapotaka ku -Google ina-search lakni baada ya hapo inaandika web-page is not available ko nataka kujua tatizo ni nini @chiefmkwawa
una bando hemu ingia play store search udownload UC BROWSER FAST then jaribu kuifungua na ugoogle km itakataa kbs ndo ujue ttz ni nini au hiyo google search clear data then ingia upya
 
Angalia data restriction kwenye data usage kama ipo ON kwa izo browsers uitoe au izime iwe OFF
 
Nenda kaseti network.
SETTING>CONNECTION>MOBILE NETWORK>ACCESS POINT NAME:
kwenye name andila jina la mtandao unaotumia mfano; tigo
Penye APN andika Internet kisha save.
 
Nenda kaseti network.
SETTING>CONNECTION>MOBILE NETWORK>ACCESS POINT NAME:
kwenye name andila jina la mtandao unaotumia mfano; tigo
Penye APN andika Internet kisha save.
Simu yangu haishiki mtandao lkn hata neno mobile network halipo kwenye simu nifanyeje ili lionekane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom