A US man has sold the domain name pizza.com for $2.6m (£1.3m) - after maintaining the site for just $20 a year since 1994.
Chris Clark, 43, accepted the offer from an anonymous bidder after a...
Wasalaam
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji batter ya hii pc hapa inayoweza kukaa na charge angalau masaa 5.
Nakaribisha offer. Itapendeza ikiwa battery mpya.
Habari ndugu zangu,
Nina machine ya EFD incotex133 amekuja mteja nikataka kumtolea risiti nimefanya transaction zote lakini haitoi risiti nimejaribu mara mbili lakini imegoma.
Sasa itakuwa...
Kumekuwa na ongezeko la watu ku-adiana au kuingizwa katika magrupu ya WhatsApp, wakati mwingine wanaofanya hivi hata huwajui na utalazimika kusubiri maelekezo.
Ili kukabiliana na hilo kuna namna...
.....na copy na ku paste words, lakini imekataa ku copy wala ku paste words toka kwenye picha.
Yaani inakuwa km ina copy picture yote badala ya ku copy words peke yake, maana Mimi nina shida na...
Mimi ni mteja wa AZAM TV sasa ni mwezi wa pili. Sina uhakika kama tatizo ninalolipata linawapata wateja wengine wa AZAM TV.
Suala ni kwamba mvua ikinyesha kidogo tu basi ianakatakata na wakati...
Hivi karibuni WhatsApp itasitisha programu yake kwa mamilioni ya simu baada ya kutangaza kwamba programu hiyo itaacha kufanya kazi katika simu za zamani.
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Facebook...
Habari,
Kama Kichwa cha habari kinavyosea, naomba msaada kwenye mambo yafuatayo;
1. Namna ya kutuma meseji kutoka kwenye email ikaingia/ikaenda kwenye namba ya simu ya kawaida. Mfano kutoka...
Kila nikijaribu kuinstall inaload sekunde chache halafu process inashindikana simu inarudi kawaida
Je, tatizo ni kwangu tu?au simu yangu.ndogo tecno C8?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtandao uliokuwa maarufu duniani kote Vine umefanya mabadiliko na sasa utatambulika kama Byte.
Vine kwa miaka kadhaa ilisimama imara kabla ya kupigwa vikumbo na magwiji Instagram, Snapchat na...
Habarini za kuamka members wa jf nina card ya bank ya NMB MASTERCARD na iko verified kufanya online purchase na nishaijarb mara kadhaa cha ajabu PayPal hawaitaki kila nikijarbu ku link...
Habari za muda huu, nahitaji kufanya recovery katika computer ambayo ina window mpya na file nalo kuhitaji lilikuwa katika window ya zamani ambayo niliiformat nitumie njia gani ili niweze...
Habari Jamii yangu ya humu ndani.
Nasikitika sana baada ya masaa kadhaa kupita ndio napata notification kwamba kuna mtu/kikundi cha watu wameweza kuingia kwenye account yangu ya twitter na...
Mimi wakati wa kuseti dishi huwa natumia receiver lakini kuna hako kakifaa nimepata sijui kama katanisaidia maana sijawahi kukatumia. Hivyo naomba aliyewahi kukatumia anisaidie kujua kama katakuwa...
Nimekuwa offline toka mwezi June kwenye Akaunti yangu ya Whatassap ila leo nataka Kurudisha Akaunti yangu tena, Je zile Sms nilizotumiwa tangu nikiwa Offline nitazipata?.
Nashukuru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.