Naomba tatuzi kuhusu hili la Icloud (apple id)

ANKA

Member
Mar 31, 2014
16
7
Habari,

Nilijaribu kuomba kuhusu kufuta apple id yangu, lakini nilifanya kosa (nilitakiwa kusaini out kwanza katika Iphone yangu kabla ya kuifuta) kwa hivyo sasa kila nikijarb ku sign out naambiwa sina apple id kwa maana ya kwamba apple id yangu imeisha futwa. Lakini kwa sasa natumia simu vizuri katika kudownload apps coz niliweka account nyingne. Shida inakuja pale nikitaka kuiza au kumpa mtu.

Wataalam nisaidie cha kufanya.
 
Back
Top Bottom