Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau na wanajamii, heri ya mwaka mpya Jamani kama kuna mwanajamvi anajua kuhusu Decorder hii naomba msaada: 1. Namna ya kufanya dish installation 2. Namna ya ku update Nawasilisha. Sent using...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wataalam, Naomba msaada nimejaribu kudownload muda mrefu nimekwama, naomba msaada wapi naweza kudownload software ya bure niweze kubadilisha nyimbo kwenye lap top ziwe kwa MP3 niingize kwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habar mateknishan..baada ya kulazmishwa sana juz nmeanza kutumia hz cm infinix somehow zko vzur bt tatzo lake lko kwenye alarm..ndio alarm mara mbil nzma imenidanganya..nmeiset iniamshe mda flan...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Kama mada inavyojieleza hapo juu naomba kujua kama kuna App yoyote inayoweza kupunguza mwanga wa tochi kwenye ukawa aidha hafifu au wa wastani kiasi. Najua kuna wataalam...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari za muda huu wana JF, Naombeni msaada kidogo. Nahitaji kubadili jina la account yangu ila nimejaribu kupitia settings zote nimekosa. Nifanyeje? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu naomba kufahamu kwa mwaka huu 2020, je ni mbinu zipi za kuweza kujipatia pesa kwa kutumia blog? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hey nina shida moja kuna rafiki yangu kaibiwa iphone 7 Je, mtu aliyeiba anao uwezo kutoa lock ile ya mbele na akaendelea kuitumia bila kutoa icloud Na je simu ikiwa hajawasha internet ninao...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wapi dar ntapata strong HD 4920 au 4922
0 Reactions
1 Replies
638 Views
Ni support yenu ya hali na mali ndiyo inayohitajika kwa sasa wadau wa jukwaa la JF. Maelezo: 1. Nenda kwenye google play store kisha andika WIFA kwa herufi kubwa 2. Bonyeza install ianze kuingia...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwa ambaye ameshawahi kutumia Product za Kodtec vipi kuhusu vifaa vyao vinastahamili? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari za kutwa nzima Naombeni msaada wenu namna ya kuunlock hii simu kampuni ya Halotel H8401. Je Nck Crack Inaweza chomoa? Michango yenu na mawazo yenu muhimu. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
MODEL:HUAWEI E3372h - 153 inaingiza line zote (universal) Majuzi nlikuwa nataka kuweka modded web ui yenye option ya ussd , nili install web ui ila haimalizi taa inawaka utadhani bado inainstall...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Habarini wakuu! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Nilikuwa msibani nikiwa na simu mfukoni ghafla mtu alinichomoa simu yangu. IMEI NUMBER ninayo, naomba msaada kama kuna mtu...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Wakuu hivi karibuni nimefunga dish la futi nane receiver ni gsky v7 ambapo nimetumia satellite finder vizuri tu na nimefuata procedure zote vizuri ikiwa ni pamoja na kuupgrade software.Satellite...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nina kiproject kidogo cha kuchukua videos kwa ajili ya Youtube channel zikiwa HD. Sasa nahitaji kununua low budget camera kuna hiki kicamera kinaitwa SJCAM model SJ 4000 AIR vipi kinaweza kuwa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Ndugu zangu desktop yangu haitoi sauti kwa muda sasa na nkatumia sound card ikawa inafanya kazi vzuri. Sasahivi haitoi tena sauti japo nmejarbu kubadilisha sound card ila bado. Naombeni msaada...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wadau nina swali, nikinunua kitu Online na nikachagua hii shipping ya CHINA POST SMALL PACKET. Je? Mzigo wangu nitaupokelea wapi? Kwani kwenye shipping address hakuna option ya PO BOX, bali kuna...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Huko nchini China,darubini kubwa zaidi duniani ya mawimbi ya redio iliyopewa jina la FAST ambayo ina ukubwa sawa na viwanja vya mpira 30 imemakamilisha kipindi cha majaribio. Wanasayansi nchini...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari wana jamvi...Kwanza Napenda kuwashukuru wadau wote humu walioweza kujadili swala la Paypal, Jinsi ya Kutoa pesa Paypal ukiwa Tanzania na changamoto zake kwa Hapa Tanzania. Mada hizo ndio...
6 Reactions
43 Replies
15K Views
Nimeingia YouTube nikacheki tutorials nyingi nakufikia ku download hiyo software. tatizo inaitaji apple ID na mimi apple ID sina hii ndo apple device yangu ya kwanza. Nimejaribu kufungua apple...
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Back
Top Bottom