Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,847
- 2,768
Moja kwa moja kwenye mada, naombeni kupata ufafanuzi mgogoro wa Huawei na Apple kuhusu tishio la kuondolewa uwezo wa kutumia Google kwenye simu za Huawei uliishaje maana nahitaji kununua simu ya Huawei.
Kabla sijafanya uamuzi wa kununua naomba kupata ufafanuzi kidogo wadau ni hilo tu maana hapa watu huwa wanadata karibia zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla sijafanya uamuzi wa kununua naomba kupata ufafanuzi kidogo wadau ni hilo tu maana hapa watu huwa wanadata karibia zote.
Sent using Jamii Forums mobile app