Habari ndugu,
jina Nicodemus mollel
makazi Arusha Tanzania
maombi yangu nimesoma information technology(IT),ngazi ya cheti nimebase upande wa TECHNICIAN
Natafuta kazi ya IT au yoyote inayohusiana...
habari wataalamu,
Nina changamoto moja, kuna server ipo remotely nahitaji kulogini account ninayo ila wame disable remote connection hivyo siwezi tumia remote desktop ku connect ni window server...
Habari zenu ndugu.
Naomba msaada wenu kuhusu ishu ya sauti kwenye Laptop yangu.
Kuna siku nilimuachia dogo laptop sasa akajaribu kuconnect sauti isikike kwenye Subwoofer, alipounganisha ikatoa...
Whatsaap ghafla iliniandikia hivi:
"You phone number has no longer registered on Whatsapp" nikiverfy nakuta nishaambiwa nipo banned yaani hii ni namba ya 4 fasta fasta.
Hakuna kibaya chochote...
Kheri ya Krismasi na mwaka mpya wakuu.
Baadhi ya simu za Android zimekuwa zikija na Internal Memory ndogo kiasi ambacho inahitaji kununua SD card (Memory Card) ili kuweza kuongeza space lakini...
Wakuu umofia kwenu!
Nilikuwa najaribu kwa mara ya kwanza kununua bidhaa ali express kwa kutumia m pesa master card lakini nafeli.
Nikiweka card namba na tarehe ya kujaza naambiwa "we dont accept...
Wakati ukivinjari kwenye mtandao wa inteneti unapotembelea tovuti mbalimbali au #MitandaoYaijamii unapaswa kuwa mwangalifu na kutunza usalama wako dhidi ya watu wenye nia ovu: Kumbuka mambo...
Heri ya krismasaa wakuu,
nilikuwa na wazo la kuanzisha hii biashara ya kuwekea wati liquid protector.
Sasa wakuu nilikuwa naomba kwa aliye na uzoefu nayo kwanzia gharama ya mtaji nayohitajila...
Mara nyingi huwa nikinunua laptop mpya hasa online ikaja na Windows huwa inakuwa ina perform fast na smooth ila ikitokea nikapiga Windows chini basi huwa nina note kuwa nilicho install kinaifanya...
Je una website iliopo offline? na unataka kuiweka kwenye intenet? pata msaada wako hapo WA BURE pia kwa wanaojua mnaweza kuchangia na kunikosoa!.
Kwa mtazamo wangu naona kuna njia mbili kuuu...
Natafuta fundi wa mageneretar makubwa kama Cumins, CAT, FG wilson au Perkins
Awe mtaalamu wa Control panel na autonation
Njoo PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mada inavyojieleza Naomba kujua zile waya zinazotumiwa kwenye internal mobile phone microphone ni AWG ngapi? Nina shida nazo sana na pia nataka kuzijua. Maana nazihitaji nisije nikaletewa...
Kuanzia 2022 na 2024 baada ya kufika kwetu katika sayari ya Mars, tutaanza kwa kuishi katika makazi ya namna hii huku tukiitransform Mars kuwa nzuri zaidi.
Picha ikionesha majengo yaliyojengwa...
Wakuu habari,
Nauliza ni jinsi gani whatsapp inajiingizia pesa naona hawatumii matangazo kabisa, ingawa unaweza uka upgrade kwa 1 usd kwa mwaka kama wakilipia watu mil 100, jumla wanapata usd 100...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.