valentino nakua
Member
- Nov 18, 2018
- 26
- 5
Habari zenu wana JF, nina tatizo linaniumiza kichwa sana na hadi leo hii bado tatizo lipo. nina mashine ya copy ni CANON:IR.2206 imegoma kutenda kazi. Kwenye display inajiandika error halafu inaonesha E350-0000 naomba msaada kujua tatizo. Natanguliza shukrani.