Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Heshima kwenu wakuu. Well, naomba msaada kwenu wakuu. Kwa mfano nina beat, halafu niko na program ya FL Studio, sasa nahitaji kupiga au kuongeza some instruments kwenye hiyo beat kwa Kutumia FL...
3 Reactions
50 Replies
9K Views
Netflix imeanza kuweka format mpya ya video inayoitwa AV1. Ni High Quality format ambayo inawezesha video kuwa na quality kubwa sana bila kutumia data sana, kuliko format za MPEG4 na HEVC. AV1 ni...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu ,naombeni msaada simu yangu ni Samsung galaxy s6 T-Mobile, nimeitumia tyar mwaka miezi kama mitatu mpaka sasa play store inagoma kudownload application Na application zingine zimeanza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu nimepata changamoto kwenye ku sign in Netflix kila napomalizia kwenye credit card inagoma tatizo nini kila napowema CVV inaniambia Error in method payment
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Live voice translation for over 30 different languages from across the globe is now available thanks to these wireless earbuds! Danny Manu created Cliks with a mission to become “the world’s...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni wadau movie hizo mbili nilizotaja hapo juu, nimejaribu kuzicheki kwenye website hizi nkiri.com, kimoitv, Toxicwap, netnaija hazipo Please kama nitazipata kwa mb ndogo nitafurahi pia
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama ilivyo ada sijui kama ni kwa simu zote ama ni baadhi kwamba unapoinunua dukani Haina kile kioo Cha juu kijulikanacho kama protector. Hivyo inatulazimu kutafuta protector ya kukinga kioo Cha...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Ndugu zangu wana jamiiforum poleni na shughuri za hapa na pale naomba ushauri. Nahitaji kufungua kampuni ya mtoa huduma ya internet "ISP" kahama, ni hatua zipi za kufuata na gharama ya kianzio ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tuwekane sawa, ukiwa unatumia simu ya mkononi ndani mwako, na radi zinapiga nje, hata uweke 4g radi haidhuru simu. Radi haipiti katika mawimbi ya simu (radio waves). Radi ni umeme, hivyo husafiri...
10 Reactions
40 Replies
7K Views
Kulingana na hali inavyozidi kubadilika inatupasa watu pia tubadilike, yaani tutoke kwenye kutegemea cha watu na tuwe na vyetu. Labda tutaachana na manyanyaso ya watoa huduma. Nauliza ni namna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ina kuwaje una chukua alama za videlo, majina yangu, anuwani ya ninapoishi wakati huo huo mdawote unajua nikowapi nafanya nini alafu mimi kama mteja nini ninacho pata? Kibaya zaidi nikwamba Hizo...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wale wanangu wa ha tunnel now inafailed kuconnect wataalam wa hì kitu tunasolve vp tuendelee kuinjoy
5 Reactions
69 Replies
18K Views
Habari za humu: Nina simu ya tecno y4 imepata tatizo la invalid imei number yaani sipigi wala kutuma sms isipokuwa ku surf internet tu. msaada tafadhali. Smart guy
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau naombeni msaada. Nina laptop yangu yenye specification zifuatazo: 1. RAM 8GB 2. HDD 500 3. processor 2.3 Ghz Hp core i3 Intel. Tatizo iko slow kwenye internet na kufunguka. Naombeni msaada...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
kama kichwa kinavyosema binafsi naamini JF ina watu wenye maujuzi yao, embu tupeane ABC ya njia mmbadala zenye unafuu baada ya serikali ya wanyonge kunyonga wanyonge wao kwa bei zisizovumilika za...
7 Reactions
93 Replies
17K Views
Wakuu habar za majukum Kwa wale ambao wanauzoefu wa kutuma document ambazo zimescaniwa. Naomba kufahamishwa kama mihuri na saini(signature) katika document ambayo naituma kwa njia ya ku scan,mtu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta good programmer ili awe mwalimu wangu, nipo MOROGORO MJINI. Tuwasiliane
0 Reactions
3 Replies
550 Views
Habarini za usiku wana jf, Nimekuwa nikikutania na changamoto mara nyingi sana kuhusiana na jinsi ya ku turn on wifi connection kwenye kompyuta nyingi aidha iwe ya window 10 au 7 professional...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habarini wakuu! Nahitaji msaada wa kubadilisha window 7 kwenda window 10, nimejaribu kutumia cd imekataa na hata flash hata baada ya kuifanyia bootable. Ujumbe ninaoupata ni kama picha...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
A.alleikhum,naomba kuelekezwa namna ya kurekodi calls,ongoing & incoming,kwa maana ya namna gani au ni kitufe kipi nibonyeze ili niweze kurekodi maongezi. Device ni Samsung A12 Natanguliza...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom