Msaada tutani wadau wa samsung phones

Sheikh23

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,128
1,842
A.alleikhum,naomba kuelekezwa namna ya kurekodi calls,ongoing & incoming,kwa maana ya namna gani au ni kitufe kipi nibonyeze ili niweze kurekodi maongezi.
Device ni Samsung A12
Natanguliza shukrani za dhati...
 
Angalia unapopiga simu
Kuna kialama kama Cha kurecord
Kibonyeze hicho
 
Nimeona baadhi ya simu hazina call record. Hata samsung kuna ambazo hazina
 
A.alleikhum,naomba kuelekezwa namna ya kurekodi calls,ongoing & incoming,kwa maana ya namna gani au ni kitufe kipi nibonyeze ili niweze kurekodi maongezi.
Device ni Samsung A12
Natanguliza shukrani za dhati...
Hiz A series nying kam co zote hazina call record
 
Ok,nmejaribu ku-download application mbalimbali za kurekod(call recorders) hazi_function vzuri,hata ambazo wadau wameshauri kwenye huu uzi,au labda sijajua ipi itafit kwa device yangu?
 
Na mimi natumia A10 naona haina call recoder nahisi hapa samsung walichemka kqenye hizi A series
 
Google mwenyewe ameondoa hio feature, hata app nyingi playstore hazirecorrd, kuna njia za kubypass ila sio 100% uhakika.
 
Nilikuwa na A50 mwanzo ilikuwa inarekodi yenyewe, nlivyoupdate kutoka android 9 to 10 hiyo feature sikuikuta tena. Nkadowmload za playstore nazo zinaboa matangazo mengi.
Hata ivo km wwe siyo mwandishi wa habari potezea tu maana haina tjja sana kuja kuzua migogoro tu.
 
Jaman msaada please Natumia simu ya Samsung Galaxy A12
Sasa nikichomeka USB kwenye kompyuta kuamishia nyimbo nilizo download toka kwenye simu kwenda kwenye kompyuta ... kuna mafile yanaingia yenyew kwenye simu hasa ya muzik alaf na picha zile za wallpaper za kompyuta zinaingia nazo kwenye simu iv hapo nawezaje kutatua tatizo hilo ili nikichomeka usb data yeyote kuingia kwenye simu mpaka niruhusu mimi
 
Hapo ni virusi ama kuna program umeseti i sync automatic iki connect simu.

Ungeanza na malware bytes, download hio program kisha scan machine yako.
 
Kama ni virus mbona simu zingine azifanyi ivyo kuingiza mimafile bila ruhusa yangu
 
Inawezekana umeeka sync software, hauna kies kwenye pc?

Na virusi sio smart, vinafanya kazi iliokuwa programmed kufanya. Kama vimekuwa programmed kuinstall kwenye simu xxx haiwezi vikadhuru simu yyy
 
Jaman msaada please Natumia simu ya Samsung Galaxy A12
Sasa nikichomeka USB kwenye kompyuta kuamishia nyimbo nilizo download toka kwenye simu kwenda kwenye kompyuta ... kuna mafile yanaingia yenyew kwenye simu hasa ya muzik alaf na picha zile za wallpaper za kompyuta zinaingia nazo kwenye simu iv hapo nawezaje kutatua tatizo hilo ili nikichomeka usb data yeyote kuingia kwenye simu mpaka niruhusu mimi
Duh ! Sijawai kuona kitu kama hicho computer huwa haikosei ila wewe unaweza kukosea the way ulivyo i direct ndivyo itafanya au itakuambia hauko sahihi. Kwa ishu yako inaonyesha kuna misbehave.Jaribu ku restart computer then anza tena ku connect usb pia hakikisha usb settings ziko sawa kwenye simu yako wezesha usb debugging.Wadau wengine pia watakuja kukushauri ila ishu kama hiyo ina ukakasi i wish ningekuwa nayo pc ninge i solve just trying
Screenshot_20211111-220602.jpg
Screenshot_20211111-220712.jpg

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom