Ha tunnel plus imegoma anayeweza kuirudisha

Endeleen kupata vitu na kuvisambaza , host imefungwa akuna namna kanunue bando ,wabongo mkipewa kitu kazi kujifanya unajua ,kitendo cha kuelezea hapo hayo mambo ni illegal mmeyahujum makampuni kwa mda mrefu,mfate aliekupa akueleze namna ya kusolve
 
Inashangaza sana eti vitu vya dili watu wanaleta public forums. Unadhani hao wenye makampuni hawana akili?
 
Endeleen kupata vitu na kuvisambaza , host imefungwa akuna namna kanunue bando ,wabongo mkipewa kitu kazi kujifanya unajua ,kitendo cha kuelezea hapo hayo mambo ni illegal mmeyahujum makampuni kwa mda mrefu,mfate aliekupa akueleze namna ya kusolve
Tunahujumu makampuni na wao nani huwa anawahoji wanavyo tuhujumu na kutudhulumu? 1gb nchi kama India ni 150Tsh huku ni bei gani?

Watu wengi mnashindwa kuelewa kuwa kuziba loopholes hawajaanza leo wala jana ni mwendelezo na upenyo mwingine utapatikana
 
Nayajua hayo na hakuna loophole iliowahi nipita ila je nibsahihi kuweka public siku njema kiongozi
 
Teh Halotel wameweka cyber security personnel wapya awa watu walioajiriwa ni balaa achana na wale wa mwanzo walikua wamelala sana awa wanablock IP zooote znye mashaka na wanaziba Loop holes zote kwnye server zao kwaio usitegemee HA tunnel kufanya kaz tena muhimu nunua kale kabando ka buku
 
Kwa kuzipa hii kuna mahali watakuwa wameachia, ngoja watu waingie kazin waje na loop hole nyingine

Sent using Linux 10.29
 
Ikija nyngne wanablock chap wameshaamka usingzini sasa wamekua kama airtel,voda n.k sio kizembe ao wataalam unaowajua watakuja na loop hole nyngne ila zitablokiwa ndan ya sekunde tu
 
Tunahujumu makampuni na wao nani huwa anawahoji wanavyo tuhujumu na kutudhulumu? 1gb nchi kama India ni 150Tsh huku ni bei gani?

Watu wengi mnashindwa kuelewa kuwa kuziba loopholes hawajaanza leo wala jana ni mwendelezo na upenyo mwingine utapatikana
Mkuu kwenye mfumo wa oligopoly anaepanga bei ni mamlaka, na ukanda wetu huu sisi tuna vifurushi bei rahisi sana. Unaona bei ghali sababu huna internet ya nyumbani.
 
Teh Halotel wameweka cyber security personnel wapya awa watu walioajiriwa ni balaa achana na wale wa mwanzo walikua wamelala sana awa wanablock IP zooote znye mashaka na wanaziba Loop holes zote kwnye server zao kwaio usitegemee HA tunnel kufanya kaz tena muhimu nunua kale kabando ka buku
Bando tutannunua tu na huy mnyama ataamka tena ✊✊✊
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom