Msaada kuhusa document ambazo zimescaniwa

The Conscious

JF-Expert Member
Mar 18, 2021
461
701
Wakuu habar za majukum

Kwa wale ambao wanauzoefu wa kutuma document ambazo zimescaniwa.

Naomba kufahamishwa kama mihuri na saini(signature) katika document ambayo naituma kwa njia ya ku scan,mtu ambaye namtumia ataiona ikiwa na rangi halisi baada ya kuiprint au inakuaje.
 
Wakati unascan, kuna kuchagua aina ya file kama ni picha au document. Pili iwe black and white au colored. Itaenda kama ulivyochagua wakati wa ku scan. Mfano PDF yente muhuri wa rangi, utaonekana na sahihi kama wino ni wa buluu, itaonekana buluu.

Ahsante
 
Sawa, kwaiy akiiprint coloured document itakuwa tu sawa na original ambay mim ninayo mkuu?
 
Back
Top Bottom