Msaada: Playstore inagoma kupakuwa Application

fiasco

Member
Mar 3, 2018
55
20
Habari zenu ,naombeni msaada simu yangu ni Samsung galaxy s6 T-Mobile, nimeitumia tyar mwaka miezi kama mitatu mpaka sasa play store inagoma kudownload application

Na application zingine zimeanza kutaka updates nikiingia play store inaload tu sasa naogopa kuireset maana nikiireset natakiwa nikaiwekee access ya kupata local network nawezaje kutumia play store na kufanya izo updates bila kuathiri mfumo wa network
 
Nadhani solution hapo ni hard reset. Nimeona simu kadhaa zenye shida kama hiyo mwezi huu.

From JF App
 
Hili unauhakika nalo boss?
Hio simu si mpaka wewe ukaweza kuitumia means washa i unlock kwa all networks, vipi tena ikurudishe US?
Nijuavyo mimi labda ku update software ndio ngumu ila hayo mengne yanawezekana.
Labda kuna kitu zaidi sikijui
 
Imekuwa unlocked lkn ina application inaitwa Samsung SU ambayo iliwekewa baada ya kufanyiwa unlock coz sio mjuzi sana kwenye ayo mambo, ninachohofia ni kwamba nikireset maana yake Ile application inayosupport itafutika that's why nachofkiria kama itarudi tena kwenye mfumo ule ule, coz haijawekewa software kilichokuwa unlocked ni network
Hili unauhakika nalo boss?
Hio simu si mpaka wewe ukaweza kuitumia means washa i unlock kwa all networks, vipi tena ikurudishe US?
Nijuavyo mimi labda ku update software ndio ngumu ila hayo mengne yanawezekana.
Labda kuna kitu zaidi sikijui
 
Nenda application manager
Kisha hizo apps 3 hapa chini
20200612_122602.jpg

zote Ingia storage kisha
Clear data
Clear cache

Ila Google play service
manage storage Clear all data na manage wearable storage then clear now
Zote zitarejistore default
Baada ya hapo conect na WI-FI au hata MOBILEDATA beta WI-FI zitakuja kwa halaka upadate ziache zitajiupdate automatic

fanya hivyo tatizo linakwisha hivyo inaweza kutatua na tatizo lako pia
 
Nenda application manager
Kisha hizo apps 3 hapa chini
View attachment 1476106

Shukrani ngoja nifanye ivyo
 
Kaka Nashukuru naona imekubari kufanya updates
 
Nenda application manager
Kisha hizo apps 3 hapa chini
View attachment 1476106

zote Ingia storage kisha
Clear data
Clear cache

Ila Google play service
manage storage Clear all data na manage wearable storage then clear now
Zote zitarejistore default
Baada ya hapo conect na WI-FI au hata MOBILEDATA beta WI-FI zitakuja kwa halaka upadate ziache zitajiupdate automatic

fanya hivyo tatizo linakwisha hivyo inaweza kutatua na tatizo lako pia
Nimepitia hizi hatuwa zote Sumsung yangu bado imekomaa inanigomea, hii imekaaje?
Hakuna plan B?
 
Back
Top Bottom