Wadau naomba elimu kidogo kuhusu protector kwenye screen ya simu

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Kama ilivyo ada sijui kama ni kwa simu zote ama ni baadhi kwamba unapoinunua dukani Haina kile kioo Cha juu kijulikanacho kama protector. Hivyo inatulazimu kutafuta protector ya kukinga kioo Cha screen ya simu isipasuke. Naomba kufahamu yafuatayo.

1. Protector nzuri inayoweza kudumu muda mrefu na ambayo ni ngumu ni ipi?
2. Kubadili protector mara kwa mara hakuwezi kuathiri kioo Cha simu?
3. Kuna uhusiano Kati ya protector na kupungua kwa ufanyaji kazi wa screen ya simu?

Asante.
 
1. Itategemea na aina ya simu. Ila ukipata kuanzia 9D inakua poa
2. Haiathiri ubora wa kioo
3. Hakuna uhusiano huo
 
weka yoyote tu kwanza zote ni fake.

kioo cha simu yenye tech kubwa kama s20 huwezi kilinda kwa protactor ya elfu 10 ni usanii tu.

weka ili roho yako iwe na utulivu,ila usijisahau na kudhani umemaliza kazi.
 
Kuhusu mikwaruzo inasaidia...
 
mkwaruzo ama scrach resistance iliyowekwa kwenye vioo vya simu kwa sasa ni imara kuliko ya kwenye huo utopolo.
Ni bora niweke utopolo, kuliko kuiacha wazi.. ANYWAY NI KAMA ULIVYOSEMA ROHO YANGU IRIDHIKE.. Kila kitu hapa duniani roho ikiridhika tu, maisha yanakuwa ya amani kabisa
 
weka yoyote tu kwanza zote ni fake.

kioo cha simu yenye tech kubwa kama s20 huwezi kilinda kwa protactor ya elfu 10 ni usanii tu.

weka ili roho yako iwe na utulivu,ila usijisahau na kudhani umemaliza kazi.

acha uongo chukua nilkin protector utanishukuru na bei ya chin.sana ni elfu 15 agiza online utakuja nishukuru acha kusimuliwa jionee mwenyewe mie natumia hii ya buku 20
 
usipende kubisha bisha vitu.

unajua kuna protactor mpaka y $60 na zaidi,unadhani ina kipi specil tofauti na yako hiyo ya elfu 20??
kioo cha simu kimetengenezwa mpaka na tech ya kuzuia mikwaruzo,hiyo protactor yako ingewekewa tech yote hiyo usingeweza kuinunua kwa elfu 20.
sijui unatumia simu gani,unaweza tafiti kioo chake kinauzwa kwa thamani ipi,halafu tafakari kuhusu protactor yako ya 20k kama kuna uuwiano.

ndio maana samsung wana case ya kioo cha plastick,unafunika simu nzima.sio protatctor ya kioo pekee.
 
NIMEKUELEWA ILA ZINA SAIDDIA SANA AMINI , HAIJALISHI KIOO NI GORILA GLAS 6,5,34siachi kuweka protector za nilkin kwa vifaa vyangu na nitaendelea zinalinda sana simu zang na kava ya nyuma pia
 
cover ni hesabu nzuri zaidi,kuliko protactor.
 
Back
Top Bottom