Usiwe unalopoka mkuu utajiaibisha bure. List basi hizo free api za kuaccept credit cards?
Hapo kama huna ujanja wa kufanya paypal au skrill ikubali kupokea TZ basi inabidi utafute provider utakae mlipa kuhandle hzo transactions zako.
Ulomquote hapo yupo sahihi japo kwa wateja wa mobile money ila kwa cards ndo inabidi uwe na middleman hapo
Na uzuri ni kwamba kwenye hiyo project yake hakueleza kuhusu mobile money na sio vyote lazima umcontact provider wa hiyo service unajuaje kama yeye anataka hizo mobile money amgetaja aina ya biashara na wateja wake location zao ziko wapi unasema nalopoka nafahamu vyote lakini huwezi fanya conclusion ya moja moja eti kwamba anapaswa awasiliane na nani hiyo inategema.
Mfano wa checkout inayo accept credit/debit card nawasiliana na Nani kuintergrate zaidi ya kufuata maelekezo ya kwenye mtandao husika hapo na wasikiana na nani.
Haya kwa mobile money hapa bongo ndio je Kama anategemea wateja kutoka nje ya nchi wamlipe kwa mobile money ipi kama ingekuwa hivyo eBay wangeweka mobile money payment usumbufu kwa wateja wenye credit card na debit sasa yeye alipaswa apate detail kutoka kwa mhusika ili aone anachotaka kinakuwaje .
Mfano unaweza wasiliana na paypal au stripe ili iweje wakati kuna kuna documentation ?
Wakati kuna maelezo kwenye site zao na developer option kwa api zao.
Yeye kama alifocus na wabongo je mteja naye anataka hivyo?
Kifupi alivyotakiwa ni kuhoji kujua mtindo wa biashara ya mtoa mada ukoje.
Unanijua sababu ya uwepo zile card za bank kwenye mashirika ya simu.
Issue unapoona mteja wewe kama dev lazima upate details zote kutoka kwa mteja hakuna solution moja hapo kwa kuwa hakutaja kile anachotaka kinaendeshwa vipi.
Naheshimu mawazo yako pia