Kutengeneza System kama ubber imagharimu kiasi gani?

Kutengeneza System kama ubber imagharimu kiasi gani?

Elly official

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2018
Posts
767
Reaction score
1,036
Heshima kwenu wana jf,

Hivi system kama ilivyo ubber ama taxfy kuitengeneza inagharibu bei gani?

Natamani specifically iwe kwa bodaboda tu kwa ajili ya mikoani na sehemu za vijijini hili ndo target market yangu.

Nimeona app ya linkee nimeipenda coz mteja unajipangoa bei
 
Kama unaenda na ready made scripts unapata Codecanyon, kama mwenyewe mtundu unamaliza ama unaweza tafuta dev akakusaidia kuiset kutokana na mahitaji

 
Back
Top Bottom