Ushauri unahitajika juu ya macbook pro

Izy_Name

JF-Expert Member
Apr 9, 2020
647
1,295
natumia macbook pro intel (R) core(TM) i5 2435 CPU @ 2.40 GHz.

RAM 4GB nime install windows 10.

tatizo linakuja hapa baadhi ya software za 3D zina run slow sometime nashindwa kuelewa tatizo ni kuforce windows au hizo specifications zake sijazielewa nafikiria kurudisha MACOS na je inawezekana ku instal cracked software kwenye macos.

sababu nyingine kuna baadhi ya drivers za windows hazi match na macbook unaweza ku download bootcamp karibu zote ila usione unacho kitafuta.

Hapo naomba ushauri wenu nikomae na windows au nirudishe MACOS.
 
Mkuu hauna kifaa hapo , tafuta kifaa.

Yaani hiyo processor ni ya kizamani bila shaka inacheza na intel hd graphic 3000 mara mia ungeanzia 4th gen na RAM 8gb minimum.Kama unapenda intel based system.
 
Duh
 
yeah inacheza na hd graphic 3000 kwan haiwezekani kuiUpgrade mpaka hd graphic 4000
 
CPU yako ina support hiyo HD 3000 na kibaya zaidi hii graphic card ni integrated huwezi upgrade labda ununue mazabode inayo support HD 4000 na processor itatakiwa i support hiyo HD 4000 yaani processor za third generation na kuendelea ama wauzie hiyo ngoma madogo wa chuo, kisha ongeza pesa mpaka laki tano-saba hivi kimasikini utakuwa kwenye levo inayoridhisha.

Kama hauna mkwanja mrefu sio lazima ununue mpya kuna used kibao ziko fresh tu kwa bei hiyo

NB; unapocheza na vitu vya graphics vinakula RAM sana hivyo atleast ukiwa na 8gb RAM kwenye system yako na graphic card nzuri itasaidia simaanishi ununue RAM KWENYE HIYO NGOMA YAKO ITAKUSUMBUA TU.
 
Natumia blender ila ina run slow sana mpaka inakela na zile Not respond zakutosha naona hapa sasa ni ibadirishe iwe pesa ninunue nyingine
 
CPU yako ina support hiyo HD 3000 na kibaya zaidi hii graphic card ni integrated huwezi upgrade labda ununue mazabode inayo support HD 4000 na processor itatakiwa i support hiyo HD 4000 yaani processor za third generation na kuendelea ama wauzie hiyo ngoma madogo wa chuo, kisha ongeza pesa mpaka laki tano-saba hivi kimasikini utakuwa kwenye levo inayoridhisha.

Kama hauna mkwanja mrefu sio lazima ununue mpya kuna used kibao ziko fresh tu kwa bei hiyo

NB; unapocheza na vitu vya graphics vinakula RAM sana hivyo atleast ukiwa na 8gb RAM kwenye system yako na graphic card nzuri itasaidia simaanishi ununue RAM KWENYE HIYO NGOMA YAKO ITAKUSUMBUA TU.

sema ninacho kipendea muonekano wake ni stronger ila sina jinsi
 
Alternative eke programs za kizamani, tafuta version za nyuma miaka 9 iliopita. Mfano kwa Adobe cs3 mpaka cs5 hivi, video editor weka za quicksync, etc
 
Hapo anakuwa limited mkuu, leo hii tuna Adobe Photoshop 2021 + AI zina feature bomba na inahitaji new updated os hata programza 3d kama cinema4d ziko na feature nzuri sasa si atakuwa limited na hiyo hardware
 
Nimempa tu alternative ye mwenyewe aangalie matumizi yake, kama haiwezi kufanya itabidi afanye upgrade.
 
Ngoja ni iconvert tu iwe hela ni nunue nyingine maana mi software nazo zitaka nyingi ni heavy
 
Chief
Tafuta Dell XPS 15 iko Bomba
Kwenye graphics..!
Nimewahi. Itumia Sana.. hizo MacBook sometimes no za ubishoo kwenye hizo Mambo ,hata Kuna games hazi run ipasavyo full ku stack !
 
Specification zake hyo ni ndogo sana. Nunua at least 2014 or 2015 MBP au kamata jeneza la windows lenye 5th gen CPU kuendelea (sio zile processor zenye U mwisho)
 
Chief
Tafuta Dell XPS 15 iko Bomba
Kwenye graphics..!
Nimewahi. Itumia Sana.. hizo MacBook sometimes no za ubishoo kwenye hizo Mambo ,hata Kuna games hazi run ipasavyo full ku stack !

kweli mkuu kitu kina muonekano mzuri kinyama ngoja nitafute mteja ambae ni mpenzi wa seazon akaenjoy
 
Kama una run vitu vizito go for the desktops n simple kupgrade kupata performance unayotaka
 
Chief
Tafuta Dell XPS 15 iko Bomba
Kwenye graphics..!
Nimewahi. Itumia Sana.. hizo MacBook sometimes no za ubishoo kwenye hizo Mambo ,hata Kuna games hazi run ipasavyo full ku stack !
Sasa unakutatu ana macbook ya miaka 9 iliyopita halafu unataka icompare na dell ya miaka 3 iliyopita halafu useme dell ni bora si kituko hicho.
 
unamaanisha Dell XPS 15 na hiyo Mac kwamba Dell Ni ndogo au ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom