Napataje database hosting kwa ajili ya android au iOS app yangu?

Candela

JF-Expert Member
Aug 12, 2021
628
1,644
Mtu aniekekeze napataje database hosting kwa ajili ya android au iOS app yangu, nimeunda app lakini inahitaji database, wasi wasi wangu ni kama hapa Tanzanzia kuna hiyo huduma au mpaka nitumie za nje.
 
Habari mkuu, kuna vitu vichache sijaelewa jee app yako inahitaji data base moja ambayo app zote zitashare au database kwa ajili ya single app.
Kama database ni kwa ajili ya single app consider using Room database upande wa Android.

Ikiwa lengo ni ku share a single database across all your application then consider developing Application Programming Interface(API) kisha baada ya hapo swala la hosting nazani sio tatizo kubwa hata hapa bongo kuna baadhi ya kampuni zinatoa hosting kama vile Tanzahost. Sema hosting nyingi za kibongo ni pasua kichwa mara system ipo down so kutumia za nnje yaweza kuwa njia nzuri.
 
Mkuu hawa tanzahost wapo kweli maana nimejaribu kununua domain na hosting mda wa payment imekataa, wamenipigia wanasema nifanye paymeny locally then wata activate. isije kuwa naingizwa cha kike.
 
mkuu sitaki kuwaongelea vibaya ila hao jamaa ni wasumbufu, tulihost site huko lakini sasa nazani kwa mwaka tuliolipia basi zaidi ya nusu site itakuwa down. mpaka hivi sasa site ipo down sijui wana shida gani. kwa sasa sikushauri kulipia kwao hao jamaa.
 
Kwa hiyo unatafuta hosting services?
Kama ni shared hosting na unataka isiyo na usumbufu basi tuna hiyo huduma
Kwa unapata 3GB of space, reliable support and reliable uptime kwa 360,000TZS, non negotiable!
Kama unahitaji WhatsApp/Call 0767893474 au kama hutaki ku disclose information zako DM Twitter https://twitter.com/hosannahtech au DM Instagram Login • Instagram

Whatever works for you!
 
Wadau kutokana na uhitaji wangu host wengi naopata ni shared na sitaki hicho kitu. Nimeangalia kuna server ya dell nimeona inauzwa bei naweza kuimudu, nachojiuliza ni kuwa nikinunua server kuhost app yangu nahitaji ruhusa ya TCRA?
 
Umeme ukikatika je na app inakua down? Au una plan B
 
Wadau kutokana na uhitaji wangu host wengi naopata ni shared na sitaki hicho kitu. Nimeangalia kuna server ya dell nimeona inauzwa bei naweza kuimudu, nachojiuliza ni kuwa nikinunua server kuhost app yangu nahitaji ruhusa ya TCRA?
Unataka VPS? Nyingi ni unamanaged which means utazihudumia wewe kuanzia installation ya OS mpaka configuration ya servers na maintenance.

Kama uko tayari kulipia maintenance fees tutakusaidia ku host kenye VPS utapata mapa SSH access. Only hautahangaika na any Admin tasks
 
mkuu sitaki kuwaongelea vibaya ila hao jamaa ni wasumbufu, tulihost site huko lakini sasa nazani kwa mwaka tuliolipia basi zaidi ya nusu site itakuwa down. mpaka hivi sasa site ipo down sijui wana shida gani. kwa sasa sikushauri kulipia kwao hao jamaa.
Nilipo tunahost na Kilihost.

Hawa jamaa ni wazuri balaa. Ni mwaka wa tatu sasa hatujawahi kusikia system down, wala kisingizio chochote. Yan guaranteed uptime.

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Wadau kutokana na uhitaji wangu host wengi naopata ni shared na sitaki hicho kitu. Nimeangalia kuna server ya dell nimeona inauzwa bei naweza kuimudu, nachojiuliza ni kuwa nikinunua server kuhost app yangu nahitaji ruhusa ya TCRA?
Mkuu, umeme shida, ukikatika ina maana wanaotumia nao huduma imekata unless uwe na backup. Na je itaweza hudumia watu wengi kwa pamoja wanaoaccess hyo database?
 
Back
Top Bottom