mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,287
- 1,855
Yaani unaambiwa wanao apply kwa kutuma proposal ni wengi balaa, project moja unakuta proposal mia mbili nakuendelea kadri muda unavyozidi kwenda.
So swala muda ndo muhimu kuwa active muda wote na kudaka project kwa upwork ila kiukweli kule freelancer ni pazuri kwa kuwa kila baada ya sekunde project inayorelate na professional yako ndo unapokea notification inakuwa rahisi kuwahi.
Mimi nilizoea Fiverr zaidi.
Nafaka
Je hii notification feature ipo upwork?