Xiaomi na Google Pixel

Xiaomi na Google Pixel

Oscar Wissa

Senior Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
128
Reaction score
196
Naomba unifahamishe, hivi kati ya simu ya brand ya Xiaomi na Google Pixel

Wewe unachagua ya brand ipi?
 
Hivi ndio natoka kmnunulia na wife.... Mi 11 Lite......
 
Naomba unifahamishe, hivi kati ya simu ya brand ya Xiaomi na Google Pixel

Wewe unachagua ya brand ipi?
Simu mbili tofauti zenye malengo tofauti.

Google pixel zina pure android yenye features chache, nyepesi na isio na mambo mengi, zinakuwa na Camera nzuri, hupata updates mara kwa mara, na zinalenga nchi zilizoendelea. Simu zao ukitaka mpya bei imechangamka na hawatoi simu nyingi kwa mwaka.

Xiaomi wao software yao ya android imekuwa customized sana ina features nyingi na sio faster kivile, wana simu nyingi za bei rahisi kuliko highend, Taregt yao ni masoko yetu haya ya nchi zinazoendelea, updates si sana kama pixel.
 
Da mkuu chief mkwawa natumia google pixel 3a lakini naona kamera ni ya kawaida sana
 
Ila pixel 3 na 3 xl si ni flagship nazo, je zinaweza shindana na hiyo s9 mkuu.?
Yah Pixel 3 ni flagship ila 3A zilikuwa ni Midrange. Pixel 3 na S9 zote ni gen moja hivyo hakuna Utofauti mkubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom