Inawezekana kutumia dish la Azam kwenye king'amuzi cha Zuku?

Habari zenu wanajukwaa,
naomba kujuzwa kama ninaweza kutumia dish la azam nikiwa na king'amuzi cha zuku.
Ndio inawezekana kikubwa tu dish liwe kwenye uelekeo wa king'amuzi cha zuku. Huna haja ya kubadili kitu chochote katika hilo dish.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom