zaitmemee
Senior Member
- Aug 14, 2015
- 186
- 38
Habari zenu wakuu, nipo Dodoma, nina dish la continental, decoder ya continental. Ninatumia dish mbili za continental.
1. satelite dish mbili
2. DiSEqC Switch
3. continental decoder
Satelite dish moja imeelekea west, fundi kasema huko nitapata local channels na international news channels and yes hizo zote zimepatikana, ila sasa ...
Dish la pili limeelekea east, alikua anatafuta free channels zilizopo angani lakini ameishia kupata channel mbili tu na nilivyokua natazama hii sio kazi kubwa, kinachohitajika ni kujua frequency na symbol rate na polarity. Ninahitaji sana kupata channel za sports na movies.
Kwenu wataalam wa mambo ya satellite dish, nahitaji hizo
1. frequency
2. symbol rate
3. polarity
Naombeni sana msaada wenu GREAT THINKERS