Wakuu, habari zenu humu ndan. Katika simu yangu, kuna baadh ya Contacts ninapoChatt sion alama za vema mbili za blue ishara kwamba zimesomwa(Read), halafu najibiwa vzur tu ishara kwamba...
Wajuzi wa Mambo nataka kuchukua simu ya Huawei Nova 2 plus au Huawei Nova 3i au oppo a 15 vipi kwa ambao wamewai kutumia simu izi ipi inafaa kuanzia ubora na kila kitu kwenye matumizi na chaguo...
Nataka kudevelop mobile app ya ku Livestream mpira wa miguu kwa ligi za ulaya. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa API's zinazotoa hii huduma anijuze .
Au kama kuna alternative nyingine ningependa...
Wakuu kwema
Ni kitambo sasa sijadownload miziki haswa ya nje ambayo nilikua naipakua bila shida mp3direc mp3juice moja kwa moja bila longo longo ya matangazo
Majuzi kati nikataka niongeze library...
Wakuu,
Nimetengeneza hosts file kutoka sources mbalimbali na nitakuwa nai-update mara kwa mara.
Pakueni hiyo hosts file kupitia:
link: 1Hosts — World's most advanced general-purpose DNS...
Habari za jioni wakali wa tech,
Week iliyopita wife ame flash techno camon 11 baada ya kusahau password.
Nawezaje kuzipata data zote, maana alikua anazitunza kwenye phone memory moja kwa moja...
Wakuu Happy Good Friday. Nimenunua smart TV na Kama mjuavyo ili tv iwe na clear pictures ni vizuri kuunga HD wire. Lakini Cha ajabu hiyo tv yangu haikubali kupokea huo waya wa HD.
Tatizo laweza...
Wakuu,
Naomba msaada kufanya verification of address kwenye Skrill account.
Mimi ni mtumiaji wa Skrill, na awali nilikua nafanya miamala vizuri tu bila shida yoyote.
Imefikia stage ya kufanya...
Serikali ya Kenya imepitisha mtaala mpya ambao wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari watafundishwa coding.
Halafu baadae turudi kukataa ukweli kwamba hawa wakenya likija suala la ubunifu...
Habarini wana jukwaa!
Bila kupoteza muda,nilitembelea maeneo fulani hapa mjini kwa rafiki yangu nikaona anatumia gesi ya kupikia ambayo ameizalisha kutoka shimo la choo,nilichokiona pale ni...
Samahani Wakubwa Nahitaji Kujua Maeneo Unayoweza Kwenda Kuomba Kazi Au Kuaply Maombi Kwa Mtu Aliesomea Masuala Ya Cyber Forensic Kwa hapa.
Tanzania Maana Nimejaribu Kuuliza Wengi Walioko Kwenye...
Asalaam Aleikum Ndugu Zangu, Matumaini Yangu Kuwa Ni Wazima Kiafya Na Mnaendelea Na Majukumu Ya Kila Siku
Ya Kujenga Taifa[emoji1241]
Nahitaji Msaada Kwa Upande Whatsapp Yangu Ambapo Awali...
Wajuvi naomba kujuzwa kama upo uwezekano wa redio kubwa maarufu sub woofer isiyo na njia ya kutumia solar kuweza kufanyiwa utaratibu ikaweza kutumia solar.
Nauliza hivi kwa maana kuna baadhi ya...
habari zenu wakuu nisaidieni jinsi ya kusolve tatizo la laptop yangu aina ya acer aspire 4520 ambayo inawaka lakini screen haioneshi kitu zaidi ya weusi wa kiza nini tatizo?