Data zimepotea baada ya ku-flash simu, nazihitaji

Data zimepotea baada ya ku-flash simu, nazihitaji

DA HUSTLA

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Posts
3,930
Reaction score
4,280
Habari za jioni wakali wa tech,

Week iliyopita wife ame flash techno camon 11 baada ya kusahau password.

Nawezaje kuzipata data zote, maana alikua anazitunza kwenye phone memory moja kwa moja,

Note: Ameshaanza kuitumia hiyo simu tena.
 
Nadhani hutazipata tena maana ukiflash simu unaandika file jipya.
 
Kuflash simu haina tofauti na kupoteza simu kisha ukanunua mpya ya aina kama iliyopotea. Sasa aijui kama kuna utakachopata kutoka kwenye simu iliyopotea

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Naona mkuu wewe na mke mko Ni Kama pipa na mfuniko,wote ni wataalam wa kusahau p/word
Screenshot_20220501-123106.jpg
 
Back
Top Bottom