Website gani nzuri mbadala wa Mp3direct kudownload free Mp3 direct link?

Bingili

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
266
698
Wakuu kwema
Ni kitambo sasa sijadownload miziki haswa ya nje ambayo nilikua naipakua bila shida mp3direc mp3juice moja kwa moja bila longo longo ya matangazo

Majuzi kati nikataka niongeze library ya music nakuta website hizo hazifanyi kazi tena
Baada ya kufanya Googling zipo site haswa za kinaijeria unaweza download tatizo lao matangazo hadi kero

Website angalau naiona ipo decent kidogo ni Free MP3 Downloads ila sasa nyimbo zao wanatumia Youtube na kuziconvert kuwa mp3 naona kama hazina quality nzuri, hata nikichagua quality kubwa bado naona yale yale tu halafu unakuta ni mb hadi 20 kwa wimbo

Maswali yangu mawili ni haya
1. Je hizi nyimbo zinakua na ubora ulele au? Maana naona kama hazina quality nzuri ukisikiliza sio kwenye simu tu hata pc....... au ni hisia zangu tu

2. Kuna website nyingine nzuri unayo ijua unaweza kupakua miziki kama ilivyokua mp3direct and the likes?

Miziki ya kibongo haina shida site zipo kibao tu
Cc Chief-Mkwawa
 
Kama una android pakua spotify iphone apple music kwa mwezi haizidi 10k una enjoy full unlimited downloads high quality
 
Kama unatumia telegram nicheki inbox nikupe bot wa kukusaidia kupata nyimbo za ujazo wa 320 kutoka deezer,spotify,soundcloud etc

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Kama una android pakua spotify iphone apple music kwa mwezi haizidi 10k una enjoy full unlimited downloads high quality
Aisee mi kulipia sijui Sporfy au Netflix bado sana mkuu

Bora kukomaa na hizi nakua na uhuru nao mkubwa, 10k kwa mwezi unazungumzia 100k kwa mwaka
 
Natufa adblock kwanza. Site ina matangazo ya kutosha.
 
Back
Top Bottom