Oscar Wissa
Senior Member
- Sep 5, 2018
- 128
- 196
Ninunue mick ya aina ipi kariakoo ambayo ni nzuri na imara isiyozidi bei ya laki mbili na nusu?
Mkuu unataka kuifanyia kazi gani mkuuNinunue mick ya aina ipi kariakoo ambayo ni nzuri na imara isiyozidi bei ya laki mbili na nusu?
Wireless mkuu haihitaji Budget ya mawazo mkuu, utapata kitu kisicho na Quality unless unatumia matumizi madogo kama kupiga simu.Ninunue mick ya aina ipi kariakoo ambayo ni nzuri na imara isiyozidi bei ya laki mbili na nusu?