Msaada Kupata Google Camera ya Note 9 (SM-N960U)

Mastamind

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
1,202
664
Tafadhari shufu kichwa cha habari hapo juu

Natafuta Gcam ya Galaxy Note 9 (SM-N960U)
Saidia plz
 
link hii hapa utadownload na configuration files pia
Imegoma mkuuView attachment 2196707
Screenshot_20220422-192234_Samsung%20Internet.jpg
 
config nimetafta kwa haraka haraka sijapata ila njia rahisi ni kwenda youtube kuna machannel ya wa Indonesia na wahindu wameyaweka huko,
au unaweza kugoogle mfano wa hiyo hapo gcam utagoogle config file for lmc 8.2 r4 utakua unazijaribu kupata inayo kufaa.
 
Ok
 
Back
Top Bottom