Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habari zenu wakuu nisaidieni jinsi ya kusolve tatizo la laptop yangu aina ya acer aspire 4520 ambayo inawaka lakini screen haioneshi kitu zaidi ya weusi wa kiza nini tatizo?
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hola chicos Siku za hivi karibuni nimepatwa na changamoto moja ambayo imenifanya nisifurahie kabisa PC yangu. Hii PC ni Lenovo Thinckthentre M93 All in One ila kioo chake ambacho kilikuja full...
2 Reactions
24 Replies
45K Views
Salam Ni Matumaini yangu Mko Salama Kabisa Na Mnaendelea na Majukumu ya kawaida kwa kila mmoja wetu, Niende kwenye Lengo Nilifungua youtube channel kitambo lakini sikuifatilia sana mbaka ivi...
1 Reactions
1 Replies
472 Views
Habari waungwana, ninaomba msaada dogo ofisini kwangu ka format local disk D kwenye laptop yangu Acer Travelmate p253e. Je program gani inaweza saidia ku recover vitu vilivyofutwa? Sina raha...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua kama kuna uwezekano wa kufuta video ambayo tayari nimei upload kwenye youtube channel yangu. Kama ndio naomba njia za kufuata. Natanguliza shukran
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini ndugu wataalamu, naombeni misaada wenu kutatua hii changamoto ya computer kula sana MB, yaan ndani ya dakika 5, unakuta umetumia 500MB, na hapo hujadownload kitu chochote. Hii...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Platform ya YouTube imetoa mipango yake katika kuongeza njia mpya za kutoa faida kwa Creators. YouTube imetaja list ya njia mpya za kupata faida katika YouTube. 𝗡𝗷𝗶𝗮 𝗺𝗽𝘆𝗮 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘇𝗼 𝗬𝗼𝘂𝗧𝘂𝗯𝗲 𝗶𝗻𝗮𝘄𝗲𝗸𝗮...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ya mchana ndugu zangu, samahani kwa yeyote anaejua au mwenye taarifa za kutosha kuhusiana na DVB t2 Satellite Receiver anisaidie plz. Maana nmeckia kuwa ni kin'gamuzi kisichokuwa na malipo...
0 Reactions
1 Replies
665 Views
Habari Wakuu, Nimekuja kwenu nikiwa na uhitaji wa kununua Motherboard ya Dell Inspiron N5050 Tafadhali kwa mwenye nayo tusaidiane, Mimi napatikana Dar es salaam.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wakuu Pc yangu imekumbwa na tatizo la kushindwa kuwaka. Nikibonyeza power button fen ina zunguka tu lakini screen haiwaki. Kabla ya hili tatizo ilikuwa inatabia ya kujizima...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Wataalam wa tech habari ya majukumu. Nina laptop yangu nipo nayo karibu mwaka na nusu haijawahi kusumbua mahali popote ilikuwa shwari tu. Ila leo naona ndo mara ya kwanza imeanza kunionyesha...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu Kwema? Ps3 yangu ina tatizo la kuwaka na kuzima hapo hapo, ambapo wenyewe wanaita "Yellow light of Death". Iliwahi kutokea mara ya kwanza mwezi November last year nikapeleka kwa jamaa flan...
1 Reactions
1 Replies
829 Views
Wataalamu nahitaji utaalamu wa kutumia kingamuzi kimoja kwa TV mbili tofauti na kila TV iwe na uwezo wa kubadili chaneli kivyake., yaani niangalie chaneli 2 kwa wakati mmoja. Mfano wa kingamuzi...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Mtu aniekekeze napataje database hosting kwa ajili ya android au iOS app yangu, nimeunda app lakini inahitaji database, wasi wasi wangu ni kama hapa Tanzanzia kuna hiyo huduma au mpaka nitumie za nje.
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu, Hatimae nimefanikiwa kumiliki simu niliyokuwa ninaiota kwa muda, Mi 11 Lite 5G. Ndiyo ninayotumia kutype hapa. Sijaona changamoto zozote za kiutendaji kazi, ipo bomba balaa hasa spidi...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Najua kuna watu wengi ni wapenzi wa muvi za hollywood na bollywood humu jamvin, pia naelewa kuwa kuna watu wanapenda subtittles ili kuelewa na kufurahia movie...
9 Reactions
75 Replies
17K Views
Habari wanajamvi, msaada wa sorting function wa kuchakata matokeo…Sorting function ambayo itachagua jinsia na rank yake katika matokeo..Msaada tafadhali….Iweze kufanya kazi kwenye Ms Excel 2007 au...
0 Reactions
1 Replies
598 Views
Naomba unifahamishe, hivi kati ya simu ya brand ya Xiaomi na Google Pixel Wewe unachagua ya brand ipi?
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Hapa bongo kumekua na wimbi la refurbished phones hasa upande wa samsung ndio kinara. Refurbished au recondishioned phones ni simu ambazo either zilikua na matatizo ya hardware au softwares baada...
17 Reactions
83 Replies
17K Views
Kama kichwa kinavyosomeka Naomba msaada hivi baada ya ku chip PS3 yako unauwezo wa kuingiza game kwa kutumia USB Flash au External Hard Disk?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom