Baadhi ya Whatsapp Chats hazioneshi Delivery Report

Baadhi ya Whatsapp Chats hazioneshi Delivery Report

TuntemekeSanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
1,346
Reaction score
863
Wakuu, habari zenu humu ndan. Katika simu yangu, kuna baadh ya Contacts ninapoChatt sion alama za vema mbili za blue ishara kwamba zimesomwa(Read), halafu najibiwa vzur tu ishara kwamba zimepokelewa na amenielewa ndo maana amenijibu.

Shida nn vile?? Msaada plz wataalam.
 
Hakuna tatizo ila huyo unaewasiliana nae anatumia WhatsApp version inayoiywa GB-WhatsApp kwahiyo kaseti namna hiyo.Ili usimuone sabab ya privacy na some nonsensical reasons
Ahaaa! Sasa sio mmoja. Wako kadhaa. Hadi wengine ni very primitive kias kwamba si rahisi kufanya setting ya namna iyo. Au labda namimi nipakue GB WhatsApp labda hari hii itatoweka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom