Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mbele yako kuna swichi tatu za balbu, moja kati ya hizo huwasha balbu iliyo ghorofa ya chini. Kutoka mahali unaposimama, huwezi kuona mwanga wa ghorofa ya chini, Chagua ni swichi gani...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Mwanzo nilikuwa natumia super general. je, bado zipo sokoni Kwa Dar? zinapatikana maeneo gani? Je, kuna fridge nzuri zaid ya super general
2 Reactions
63 Replies
25K Views
Habari wakuu. Kwa yoyote mwenye uelewa kuhusiana na hii platform ya IDEA DEBATERS inayotrend sana mtandaoni. Naomba ufafanuzi zaidi ya namna inavyofanya kazi na usalama wake wa kuinvest izo pesa...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wana_jukwaa? Ni imani yangu mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji: 1. Kuweka windows 10 pro na drivers zake kwenye Kompyuta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
UNAJUA KWANINI UNUNUE POCO F4 GT !! Xiaomi wanaendelewa kufanya vizuri kwenye matoleo mbalimbali ya simu Leo hii wameachia simu mpya aina ya POCO F4 GT nchini UK ni simu Kali yenye muonekano...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna simu LG velvet ni mpya nilichukua AE, simu ni toleo la Korea T-Mobile Iko unlocked kwa mtandao wowote shida ukitaka kuunga kifurushi mfano upige *149*01# ujumbe unaokuja ni kama huo hapo...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa, samahani naomba kufaham jinsi ya ku-unfollow kwa pàmoja watu niliowafollow instagram maana niwengi nataka nibakishe wachache tu kama sio kuondoa wote kabisa. Binafs nimejarbu...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Following endless poaching acts in our national reserves I urge our researchers, and other scientists to heavily invest and research on how we can plant genes/DNA or anything that can help in...
1 Reactions
10 Replies
828 Views
Instagram wazindua mfumo wa kutoa taarifa kuhusu watoto waliopotea kwenye eneo lako !!! Moja kati ya mtandao unaotumiwa na wengi ni Instagram huna jumla ya watumiaji zaidi ya bilioni moja...
0 Reactions
1 Replies
433 Views
No need to say more, Hii game Kali sana wakuu. Grafix nzuri pia multiplayer options nzuri sana. Nimependa pia option ya kucheza huku mnaongea (voice chat), nimepata marafiki Malawi na Zambia na...
4 Reactions
9 Replies
782 Views
Kwema Wakuu? Mafundi simu upande wa software na wadau wote mnaofahamu matatizo ya software za simu,nisaidieni utatuzi. 1:Vida k242(voda kitochi) APP ya contact inafunguka lakini haiwezekani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back in August of 2020, Russia shocked the world by announcing that they had developed the world’s first vaccine for the “new” coronavirus, seemingly taking delight in the fact that they beat the...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF naomba msaada kwa yeyote anayejua namna ya kuseti fingerprint kwenye simu aina ya TECNO CAMON 16. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari! Naomba kuuliza hivi Gta 5 mission yake ya mwisho ni ipi kwa wale waliocheza maana nimechaza hapa so sioni mission nyingine
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii Drone X Pro ni ndogo kwa umbo lakini inasaidia sana kukuwezesha kupiga picha mbalimbali khasa zile za selfie. Inafanyaje kazi Unachotakiwa kwanza ni kufungua app yake ya Drone X Pro...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Wadau Watalaamu wa TV naomba kuelimishwa juu ya TV aina ya SAMSUNG kutoa tumistari kwenye Screen TATIZO ni nini? Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna wakati unahitaji kuhifadhi vitu vyako kwenye Hali ya usiri sio kila mtu hajue mambo yako binafsi ndo maana tunashauliwa kutumia external hard disk kuweza kuhifadhi vitu vyetu. Unajua...
2 Reactions
0 Replies
815 Views
ACHANA NA HDD KUANZIA SASA TUMIA SSD !! Je unatafuta sehemu salama ya kuhifadhi vitu vyako !! Je hard disks Yako imepungua Kasi kwenye kutuma au kurusha kitu ? Au unatafuta sehemu salama ya...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kuna progrmammes ambazo unaweza kusi download kwenye simu ambazo unaweza kupima eneo lako (area, perimeter etc) na accuracy ya juu. Please mwenye kujua programe hiyo anisaidie inaitwaje.
0 Reactions
3 Replies
757 Views
Kompyuta au laptop Yako inashindwa kuunganisha na wifi !!! Wifi imekua teknolojia muhimu Sana kwa muda mrefu kwenye simu au kompyuta zetu , mara nyingi tunaichukulia ni rahisi Kama vile umeme...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…