Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,285
- 2,595
UNAJUA KWANINI UNUNUE POCO F4 GT !!
Xiaomi wanaendelewa kufanya vizuri kwenye matoleo mbalimbali ya simu Leo hii wameachia simu mpya aina ya POCO F4 GT nchini UK ni simu Kali yenye muonekano flani Hivi wa kusisimua.
Specs:
[emoji117] DISPLAY AMOLED 120hz (480hz touch)
[emoji117] Ram 8 / 12GB ++ 128 / 256GB storage
[emoji117] Battery 120W Fast Charging technology
[emoji117] Snapdragon 8 Gen 1
[emoji117] Magnetics Pop up triggers
[emoji117] knight Silver / Stealth Black & Cyber Yellow (colours)
[emoji117] [emoji765] 499 and [emoji765]699
Ndani ya Box[emoji320]
Kama wewe ni mpenzi wa ma game basi simu hii ni Yako kabisa pia watumiaji wote mnaweza kutumia bila shida yoyote Ile.
Nilichokipenda ni uwezo wa kuchaji simu kwa dakika 17 tu na kujaa papo hapo kutokana na kutumia teknolojia ya fast charging 120w Ivyo kupelekea simu kujaa ndani ya dakika 17 betri lake ni 4700mah.
Kuna magnetic triggers butoni ambayo utatumia kufanya mambo mengi tu Iko upande wa kushoto utaweza kupiga picha , kurekodi video au audio pia kuiweka On wakati unacheza games.
Speaker nne Tweeter na woofers hutoa sauti zenye ubora Sana wakati unatizama video au kusikiliza kitu bila shida yoyote zikiwa zimewekwa sehemu ambayo ni ngumu kuzuia wakati unaishika simu Yako ivyo unaipa uhuru speaker kufanya kazi vizuri pia inatumia USB type C.
Pia uwezo wa kutumia simu Yako na kuunganisha na Tv kwa kuweza ku control tv, gari nk. Kwenye kitufe Cha kuwasha na kuzima pia Kuna fingerprint. Akuna Sehemu ya kuweka SD card.
Inatumia android version 12 Iko very fast kutokana na kutumia chipset aina ya Snapdragon generation 8 ivyo Iko fast.
Changamoto yake Ina tabia ya kupata Sana joto wakati unacheza game [emoji452] japo simu nyingi za Android ziko ivyo Ila Sio shida Sana Ina changamoto ya network Kuna wakati inashuka sana japo Ina support 5G.
Overall rate 8/10 [emoji383]
Tuachie maoni Yako Hivi unaionaje Kampuni ya XIAOMI na matoleo Yao ya simu ?