Habari wadau,
Ninataka kujua namna ya kuzesesha Digital Payment kwenye application yangu. Yaani mtu alipie kutoka mtandao wa simu moja kwa moja kwa kuweka kiasi kwenye application halafu simu...
Habari zenu wana jamvi kwangu imekuwa ngumu kuendesha akaunti yangu ingali nilipoifikisha ni kazi mno. Jana nimepigwa Li Copyright Claim Sina hamu kuisha mpaka mwezi wa 11 tarehe 10.. Me kama una...
Ninaianzisha thread hii kwa ajili ya kubadilishana pia kufundishana kuhusu Networking kuuliza mwaswali ili tusaidiane kwa woote tuanze na cofiguratiaon za rauter kwa yeyote anaweza akasaida
Nawasalimu kwa jina la jamhur ya muungano wa tanzania wadau,
kama kichwa cha habar hapo kinavyojieleza naomba kwa yeyote anayefaham app nzur ya kuondoa matangazo kwenye simu naomba anisaidie...
Habari wana iti mm nilikua naomba kufahamishwa kuhusu.
1: namna application za kuangalia mech live mfano ya baraka tv, inaingizaje pesa kwa mimiliki.
2: namna application za kuuza na kununua...
jamani kwa mtaalamu, nilichange zile security code kutoka zile za nokia za 12345 nkaweka zangu, but nw nimezisahau zangu, so swezi kuchange line plz help nifanyeje?
Wakuu kwema, hope wazima kabisa
Msaada wenu wakuu, nataka niagize mzigo huko mombasa kwa njia ya mtandao, kwa wale waliowahi kuagiza Tv, fridge n.k nchini Kenya /Mombasa na mzigo akaupokelea...
Juzi kati hapa nilitaka kununua sound bar nzuri jamaa yangu akanishauri ninunue za JBL kua ni nzuri sana.
Katika kufanya window shopping hapa Dar nikaenda Mlimani city nikauliza bei nikaambiwa...
Habari za majukumu wadau wote wa JF. Naomba mnijuze wapi naweza kupata wataalamu wa ku design logo kwa ajili ya Website. Logo hiyo pia iweze kutumika kwenye page za social networking kama...
Wakuu, adopter ya PC yangu aina ya HP ilikuwa na damage ile sehemu ya mwishoni ya kuingizia power,
Nikabadilisha waya, nilipoiconnect tena, ile sehemu ya PC inapoingia adopter ili kupelela charge...
Baada ya kurupushani za kwenda dar kufanya interview ya posta nafasi ya Muhasibu nmerejea tena kutoa nondo, Kuna watu walishangaa sana mie C.P.A (T) machozi ya simba niombe kazi wakati hadi wao...
Hello, Wadau habari za muda huu. Nahitaji Media Convertor naweza pata duka gani hapa Kwa Dar au nje ya Dar? Bei ikoje?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Wakuu wa kitengo kwema? Samahani nina logo kwaajoli ya kampuni ya utalii nichague ipi kati ya hizi? Na pia kama kuna sehemu ya kurekebisha napokea mapendekezo [emoji1666][emoji1666]
Natanguliza...
Apple itatoa mfumo mpya wa iOS 16 kwa watumiaji wote wa iPhone 8 na kuendelea.
Mfumo mpya wa iOS 16 utaanza kutoka Jumatatu ya tarehe 12 September.
Credit: @ Apollo (@itsapolloo)
Zangu ni
1. Thoughty2 - Hii channel ni bomba sana sana, ina information ya mambomengi kuanzia history, technology, crime and investigation na kadhalika. Jamaa mwenye channel ni Mwingereza na...
Salam wakuu!
Kwa wale wataalam wa Technology, ninaomba mnielekeze jambo hili.
Jana nilituma Document sehemu, ambayo ina ukubwa wa 1.8 mb na ikaonyesha sent. Leo jioni nimepata ujumbe kwenye...