Naomba kujua namna ya kuondoa matangazo kwenye simu

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Nawasalimu kwa jina la jamhur ya muungano wa tanzania wadau,

kama kichwa cha habar hapo kinavyojieleza naomba kwa yeyote anayefaham app nzur ya kuondoa matangazo kwenye simu naomba anisaidie maana kuna muda unakuta unafanya vitu vya msingi mtandaon unaona matangazo kibao yanaingia.

Kwaiyo mwenye kujua App nzur ya kuondoa ayo matangazo naomba anitajie kaka chief bandiko langu nadhan umeliona.

Asanteni.
 
Napita, narudi nikitegemea kukuta mwenye jibu kalileta, ili nami nifaidike, kumbe kimyaaa!
Sitachoka kuja kuchungulia, kwani nami huu UGONJWA unanitesa sana!
 
Ok...itanisaidia? Sasa inatumikaje? Au app zote ni download kwa kutumia browse iyo?
 
Nenda kwenye network alaf Dns then utaweka private dns na kwenye hostname utaweka haya maneno dot-de. blahdsn.com

ata yale ads za google hutoziona ila ukumbuke kuna baadh ya website kama ni mpekuz sana hutaweza kuaccess
 
Habari za majukumu, nimekuja na kero ya kupata adds kwenye simu yangu Kila mara unakuta unaletewa matangazo ambayo huitaji mfano Ile ad ya ADA health inanikera sana. Mwenye kufahanu jinsi ya kuzuia haya matangazo tafadhali
Screenshot_20220911-084601.jpg
 
Back
Top Bottom