sidhani kama youtube inalipa kihivyooKivipi mkuu
Hujaeleweka mkuu tatizo ni nini?Habari zenu wana jamvi kwangu imekuwa ngumu kuendesha akaunti yangu ingali nilipoifikisha ni kazi mno. Jana nimepigwa Li Copyright Claim Sina hamu kuisha mpaka mwezi wa 11 tarehe 10.. Me kama una pesa nakuachia tu.View attachment 2353434