Je ni kweli Application ya "Psiphon Pro" inatumika kupata Free Internet

Ulisikia Wapi

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,684
2,000
Wakuu kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu.

Hivi ni kweli kuna application inayoitwa "Psiphon Pro" na huwa inatumika kupata Free Browser Internet?

Nasubiri maoni yenu.
 

baba yaga

Member
Apr 8, 2021
17
45
Tumesha download je maelekezo yanayofata ili tujue inafanyaje kazi
Kumbuka uwe na line ya halotel
Ukisha install application na ukiconect inakua kama kwenye picha hapa
Screenshot_2021-04-10-15-14-15.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom