Wale IT Guys wazuri msaada hapa :

Wale IT Guys wazuri msaada hapa :

Mkuu ujumbe upo wazi hapo, ipad inataka uweke account ya Apple iliokuwa inatumika wamekupa na hint inaanziwa na 4 na ni Email ya QQ aka ya kichina.
 
Naelewa mkuu ila miaka yote nimekuwa nikitumia Apple ID yangu toka na nunua dukani , ni kama hii ilfanyiwa “ lock” flan huko kabla ya mimi kuanza kutumia ambapo aliefanya ndio mwenye hzo details na me sina access kuzipata…..hakuna njia ya ku-bypass naweza fanya nikairudisha mzgoni ?
 
Uli- reset kabla ukaweka ID yako au hii ndio mara yako ya Kwanza ku-reset?
 
Mkuu hapa utakua umechanganya Primary id ya Ipad yako na Icloud account.

Hizo email za QQ ni za china itakuwa ilishawekwa lock na hio id then wewe ukaja tu kusign in account yako kwa juu, ila account yako haikuwa main.

Ios za zamani zinatoka Icloud, mpya ngumu, jaribu kutafuta fundi mzuri wa kutoa lock.
 
Naelewa mkuu ila miaka yote nimekuwa nikitumia Apple ID yangu toka na nunua dukani , ni kama hii ilfanyiwa “ lock” flan huko kabla ya mimi kuanza kutumia ambapo aliefanya ndio mwenye hzo details na me sina access kuzipata…..hakuna njia ya ku-bypass naweza fanya nikairudisha mzgoni ?
Pia nimecheki site ya Apple, posibillity nyengine ni kwamba Account yako imeibiwa, mtu akabadili cheki hapa

Hivyo jaribu kulogin na account yako Website ya Apple kama walivyoshauri, unaweza pia wasiliana nao uwape ushahidi kwamba umetumia hio ipad kwa muda mrefu na Account yako.
 
Uli- reset kabla ukaweka ID yako au hii ndio mara yako ya Kwanza ku-reset?

hii ni mara kwanza ku-reset baada ya kununua na kuanza kuitumia nili-login tu kwa details zangi ikawa inapiga mzgo , shida imekuja baada ya kureset for the 1st time
 
Naelewa mkuu ila miaka yote nimekuwa nikitumia Apple ID yangu toka na nunua dukani , ni kama hii ilfanyiwa “ lock” flan huko kabla ya mimi kuanza kutumia ambapo aliefanya ndio mwenye hzo details na me sina access kuzipata…..hakuna njia ya ku-bypass naweza fanya nikairudisha mzgoni ?
Kuna watu wanachezesha wanabypass original apple ID ya mwenye mali unaweza kuweka apple ID yako siku ukireset onakudai apple ID ya mwanzo maana ilikuwa tu bypassed. Sasa hapo ama uweke hyo apple id au utafte mtaalam aibypass tena.
 
Pia nimecheki site ya Apple, posibillity nyengine ni kwamba Account yako imeibiwa, mtu akabadili cheki hapa

Hivyo jaribu kulogin na account yako Website ya Apple kama walivyoshauri, unaweza pia wasiliana nao uwape ushahidi kwamba umetumia hio ipad kwa muda mrefu na Account yako.

Nilifanya hii jana na nikajaza details zote shida ni miaka 3 sasa wanataka ni-attach receipt ya mauziono ya device na me hata sikumbuki iliko[emoji23] huu msala
 
hii ni mara kwanza ku-reset baada ya kununua na kuanza kuitumia nili-login tu kwa details zangi ikawa inapiga mzgo , shida imekuja baada ya kureset for the 1st time
Mkuu hapo mtafute alieanza kuitumia au tafuta mtu anaejua kucheza na hizo iPad aibypass, hio ndio solution apart from that umenasa
 
Kuna watu wanachezesha wanabypass original apple ID ya mwenye mali unaweza kuweka apple ID yako siku ukireset onakudai apple ID ya mwanzo maana ilikuwa tu bypassed. Sasa hapo ama uweke hyo apple id au utafte mtaalam aibypass tena.

Hii naona inafaa nitafute mtaalam wa bypass ndio pona yangu
 
Product za apple ni kiboko. So many complications, japo kiusalama ziko poa.
 
Back
Top Bottom