Msaada wa kufungua email yangu ya Yahoo

Joachimb

Member
Jul 23, 2017
62
63
Ninamiliki email ya yahoo,ila nilisahau password yake,na email niliyotumia ili inisaidie kurecover email sina acces nayo,pia namba ya sim niliyoweka ili inisaidie kurecover email ilipotea sina mawasiliano nayo.

Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kuifungua na kupata password mpya naomba anisaidie tafadhali ni ya mhimu sana.
 
1. Jaribu kipiga iyo namba kama inapatikana kama haipatikani (ulisajili kwa jina lako) nenda polisi kachukue lost report alafu uende kwa mtoa huduma waka uka i renew

2. Kama namba inapatikana na mtu mwingine anaitumia hapo inategemea na hekima na ushawishi wako umshawishi akutumie izo verification code

3. Tembelea wavuti ya yahoo help center unaweza kupata muongozo
 
Ninamiliki email ya yahoo,ila nilisahau password yake,na email niliyotumia ili inisaidie kurecover email sina acces nayo,pia namba ya sim niliyoweka ili inisaidie kurecover email ilipotea sina mawasiliano nayo.

Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kuifungua na kupata password mpya naomba anisaidie tafadhali ni ya mhimu sana.
Ni ngumu ku renew password kama hauna recover email au namba ya simu. Lakini jaribu usikate tamaa
 
Ina muda gani toka upoteze ufikiaji? Maana siku hizi yahoo wameanzisha mtindo wa kufuta kabisa email kwa zile email ambazo hazikufikiwa na wahusika.

Baada ya muda wanasema email ambayo haikufikiwa kwa muda fulani zitafutwa zile email zilizokuwa inbox na mahala pengine na kisha jina linakuwa available kufunguliwa na mtu mwingine.

Ni kama namba ya simu usipotumia kwa muda fulani anapewa mwingine.
 
Back
Top Bottom